Loading...
title : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 35, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 26, 2017.
link : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 35, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 26, 2017.
YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 35, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 26, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakifurahia jambo na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge wa Kaliua (CUF) Mhe. Magdalena Sakaya akiuliza swali katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Naibu waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anstazia Wambura(kulia) pamoja na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe(katikati) wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt Medred Kalemani wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA) Mhe. Joseph Haule (Kulia) pamoja na Mbunge wa Mikumi Mhe. Joseph Haule (wa pili kulia) na Mbunge wa Tunduma (CHADEMA) Mhe. Frank Mwakajoka (aliyeipa kisogo kamera) wakimsikiliza Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charels Mwijage wakati wakijadiliana jambo katika kikao cha 35 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 26, 2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 35, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 26, 2017.
yaani makala yote YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 35, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 26, 2017. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 35, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 26, 2017. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/yaliyojiri-katika-kikao-cha-35-mkutano.html
0 Response to "YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 35, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 26, 2017."
Post a Comment