Loading...
title : Wanasheria Wakuu SMT na SMZ wakutana
link : Wanasheria Wakuu SMT na SMZ wakutana
Wanasheria Wakuu SMT na SMZ wakutana
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Adelardus Kilangi amekutana na kufanya mazugumzo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Bw. Said Hassan Said. Katika mazungumzo yao viongozi hao wamebadilishana mawazo ya namna ya kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku yanayosimamia masuala ya sheria na utaoaji haki. Pichani Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Bw. Said Hassan Said akimkabidhi Dk. Adelardus Kilangi Katiba ya Zanzibar ( picha na Ofisi ya AG
Hivyo makala Wanasheria Wakuu SMT na SMZ wakutana
yaani makala yote Wanasheria Wakuu SMT na SMZ wakutana Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wanasheria Wakuu SMT na SMZ wakutana mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/04/wanasheria-wakuu-smt-na-smz-wakutana.html
0 Response to "Wanasheria Wakuu SMT na SMZ wakutana"
Post a Comment