Loading...
title : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017
link : YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017
YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017
yaani makala yote YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/yaliyojiri-katika-kikao-cha-kumi-na_3.html
0 Response to "YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA SITA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 3, 2017"
Post a Comment