Loading...

YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO

Loading...
YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO
link : YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO

soma pia


YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO

#Tunakushukuru Mhe.Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo suala la elimu bure nchini - Said Meck Sadik.


#Kati ya walimu wa Sayansi 100 waliopangikiwa mkoa wa Kilimanjaro, 94 wamesharipoti - Said Meck Sadik.


#Serikali ya Mkoa imekuwa ikisisitiza uanzishwaji wa mabaraza ya wafanyakazi mahala pa kazi - Said Meck Sadik.


# Changamoto ya ukosefu wa ajira ni la tatizo la Dunia na Tanzania ni moja ya nchi inayokabiliwa na tatizo hilo - Mkurugenzi ILO.


#Kwa jitihada zinazofanywa na serikali, tunaona uchumi wa kati uko karibu - Mkurugenzi  ILO.


# Serikali ya Awamu ya Tano inafanya kazi kwa ukaribu na TUCTA na ATE - Jenista Mhagama.


#Tucta inaishauri Serikali kufuata sheria za kazi katika kuwachukulia hatua wafanyakazi - Dkt. Yahaya Msigwa.


#Tunaishauri Serikali kuharakisha uboreshaji wa mifuko ya jamii ili wafanyakazi waanze kunufaika - Dkt. Yahaya Msigwa.


#Wapo waajiri ambao wanakiuka sheria za kazi, mfano kunyanyasa watumishi na kutoa kazi kwa ndugu zao - Dkt.  Yahaya Msigwa.


#Tunaiomba Serikali kupandisha kima cha chini cha mshahara unaokatwa kodi kufikia 750,000/-. - Dkt. Yahaya Msigwa.


#Tucta inawakumbusha wafanyakazi kutimiza wajibu wao sehemu za kazi - Dkt. Yahaya Msigwa.


#Si wajibu wa Tucta kutetea uovu kama vile ulevi, ubadhilifu na utoro sehemu za kazi - Dkt. Yahaya Msigwa.


#Tunaipongeza Serikali kwa kusisitiza uanzishwaji wa mabaraza ya wafanyakazi katika maeneo ya kazi - Dkt. Yahaya Msigwa.


#Tunakushukuru Mhe. Rais kwa kubali kuwa mgeni wetu rasmi wa siku hii ya leo - Tumaini  Nyamhokwa - Rais TUCTA.


#Siku ya Wafanyakazi Duniani ni siku muhimu kwa wafanyakazi kutafakari masuala yanayowahusu - Rais  Magufuli.


#Wafanyakazi ndio injini ya maendeleo katika taifa lolote duniani - Rais Magufuli.


#Serikali itaendelea kufanyia kazi changamoto zinazowakabili wafanyakazi - Rais Magufuli.


#Nawahakikishia wafanyakazi kuwa tunaanza ukurasa mpya kwani serikali tumeamua kwenda mbele - Rais Magufuli.


#Nawaarifu kuwa serikali inaendelea na utaratibu wa kuanzisha fao la Bima ya Ajira na wadau wameshatoa maoni - Rais Magufuli.


#Serikali inalishughulikia suala la ucheleweshaji wa mafao ili wafanyakazi wanapostaafu waache kuhangaika - Rais  Magufuli.


#Vyama vya Wafanyakazi ni mahala pa kazi na sio hiari na visigeuzwe sehemu ya migogoro - Rais  Magufuli.


#Waajiri wote wanatakiwa watoe mikataba ya ajira kwa wafanyakazi kinyume na hapo ni kuvunja sheria - Rais Magufuli.


#Serikali itaendelea kusaini na kuridhia mikataba ya kimataifa wafanyakazi yenye maslahi kwa wafanyakazi - Rais Magufuli.


#TUCTA endeleeni kuwaelimisha wafanyakazi ili fedha za bodi ya mikopo ya elimu ya juu ikusanywe kikamilifu - Rais Magufuli


#Tumebaini watumishi hewa 19706 waliokuwa wanaisababishia serikali hasara ya Tsh Bil. 230 kwa mwaka katika misharaha peke yake - Rais Magufuli.


#Serikali itashughulikia suala la mfumuko wa bei ili kuondokana na ugumu wa maisha - Rais Magufuli.


#Wapo walio na umri wa kustaafu lakini hawataki kuondoka hawa nao tutaanza kuwafuatilia, hawana tofauti na watumishi hewa - Rais Magufuli


#Nilitaka nisafishe kwanza kabla ya kupandisha mishahara kwa wafanyakazi ili tusiwafaidishe wasiostahili - Rais Magufuli.


#Nawaahidi tutatoa ajira  52000 katika sekta mbalimbali baada ya kutoa watumishi hewa na walio na vyeti feki - Rais Magufuli.


#Yeyote atakayehamishwa hakuna kuhama mpaka ulipwe hela ya kuhamishwa - Rais Magufuli.


#Serikali ya awamu ya tano ipo pamoja na wafanyakazi na haitadharau wala kupuuza maombi yenu - Rais Magufuli


#Niwaahidi wafanyakazi kuanzia bajeti ijayo tutaongeza mishahara kutoka kiwango kilichokaa kwa muda mrefu - Rais Magufuli.


#Mwaka huu tutapandisha madaraja ya kazi pamoja na  kuweka nyongeza ya mishahara kuwa sawa na madaraja yake - Rais Magufuli.


#Serikali hii itakuwa mtetezi namba moja kwa wafanyakazi - Rais Magufuli.

#Nikitoka hapa nitakaa na Baraza la Mawaziri ili kuweka mikakati ya kuboresha maslahi ya wafanyakazi - Rais  Magufuli.


#Kwa sheria zote zitakazoletwa kama miswada tutafanyia kazi kwa wakati ili mambo yenu yaende vizuri - Spika Job Ndugai


#Nasisitiza msiwahamishe wafanyakazi kabla hamjawalipa stahili zao - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa


IMEANDALIWA NA IDARA YA HABARI-MAELEZO



Hivyo makala YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO

yaani makala yote YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/yaliyojiri-katika-maadhimisho-ya-siku.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YALIYOJIRI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI (MEI MOSI), 2017 KATIKA VIWANJA VYA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO"

Post a Comment

Loading...