Loading...

Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden.

Loading...
Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden.
link : Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden.

soma pia


Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden.

Bi Fatma kutoka ujumbe wa Wadi ya Makunduchi akiwa na professa Katja kutoka idara ya jinsia katika Chuo kikuu cha Mid Sweden baada ya mazungumzo ya kutafuta ushirikiano wa kupambana ukatili dhidi ya wanawake Makunduchi. Aidha wadi ya Makunduchi inatafuta pia mafunzo ya Munda mfupi na mrefu katika maswali ya jinsia.
Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi kutoka Kushiro Mohamed Muombwa, mratibu na mwalimu Hafith. Hapa tumekuja kuangalia ufugaji wa nyuki wa Ulaya. Hulu ndio mzinga wa nyuki unaotumiwa sana nchi za baridi. Ufugaji wa nyuki wa kisasa hivi sasa umepamba moto Makunduchi
Mratibu wa mashirikiano kati ya wadi ya Makunduchi na manispaliti ya Sundsvall ndugu Mohamed Muombwa baada ya mazungumzo na Profesa Katja kuhusu uwezekano wa kushirikiana na Chou kikuu cha Mid Sweden University katika maswali ya kupiga vita ukatili dhidi ya wanawake Makunduchi. Upande wa kulia ni bi Christin Stromberg mratibu wa mashirikiano upande wa Sundsvall


Hivyo makala Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden.

yaani makala yote Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/ziara-ya-ujumbe-wa-wadi-ya-makunduchi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ziara ya Ujumbe wa Wadi ya Makunduchi Nchini Sweden."

Post a Comment

Loading...