Loading...

BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA

Loading...
BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA
link : BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA

soma pia


BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), pamoja na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya (Mb), wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Bustani kilichoko wilayani Kondoa mkoani Dodoma, walipotembelea bungeni mjini Dodoma, siku ambayo Bunge limepitisha kwa kishindo Bajeti ya Sh. trilioni 31.7 kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akimshukuru na kumpongeza Naibu wake Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), kwa ushirikiano mkubwa aliompatia hadi kufanikisha kazi kubwa ya kuandaa na kusimamia Bajeti Kuu ya Serikali ya shilingi trilioni 31.7 iliyopitishwa na Bunge kwa kishindo mjini Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), akiteta jambo na maafisa waandamizi wa Wizara yake nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, baada ya Bunge kupitisha kwa kishindo Bajeti Kuu ya Serikali ya shilingi trilioni 31.7



Hivyo makala BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA

yaani makala yote BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/bajeti-kuu-ya-serikali-yapitishwa-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BAJETI KUU YA SERIKALI YAPITISHWA KWA KISHINDO MJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...