Loading...

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA

Loading...
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA
link : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akitoa salamu za Shukurani kwa niaba ya Wabunge na wafanyakazi wa Bunge, kwa Spika wa Bunge Job Ndugai, kwa kuwafuturisha, June 20, 2017 katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Waziri Mkuu aliwaasa Watanzania wote kuwa na ushirikiano kwa dini zote na kupendana.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge Job Ndugai katika Futari iliyoandaliwa na Spika kwa ajili ya Wabunge, Wafanyakazi wa Bunge na Wageni waalikwa katika viwanja vya Bunge Mjini Dododma, June 20, 2017
Baadhi ya Wabunge wakibadilishina mawazo wakati wa futari iliyo andaliwa na Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai , kutoka kulia, Mbunge wa Ilala Idd Zungu. katikati Mbunge wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge .na kushoto ni Mbunge wa Mbarali Haroon Mulla .Futari hiyo ilifuturiwa katika viwanja vya Bunge June 20, 2017 Mjini Dodoma Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-ahimiza.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AHIMIZA USHIRIKIANO, UPENDO KWA DINI ZOTE TANZANIA"

Post a Comment

Loading...