Loading...

BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA

Loading...
BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA
link : BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA

soma pia


BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA

BENKI ya Diamond Trust(DTB) Tawi la Tanga wanakusudia kupanua wigo wa huduma zao kwa wateja kwa kukarabati na kuongeza namba ya wahudumu ikiwa ni mkakakti wa ujio wa fursa mbalimbali mkoani hapa ukiwemo mradi mkubwa wa bomba la mafuta kutoka hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga.

Hayo yalibainishwa juzi na Meneja wa Benki ya Diamond Trust Bank Mkoani Tanga (DTB) Athumani Juhudi wakati futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa wateja wao wa mkoa wa Tanga iliyofanyika kwenye ukumbi wa Tanga Beach Resort mjini hapa na kuhu dhuiwa na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa wilaya za Handeni na Tanga.
Alisema wao wanakusudia kufanya hivyo ili kuweza kuendana na wigo mpana wa ukuaji wa uchumi kwa mkoa wa Tanga ambao unatarajiwa kufanyika kutokana na mradi huo mkubwa .
“Benki yetu ipo kwenye nafasi ya tano kati ya mabenki zenye amana kubwa za wateja hivyo tumeona kuwaandalia futari hiyo ni namna bora ya kuwashukuru wao kwa kuwasapoti”Alisema.
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akizungumza wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya DTB kwa ajili ya wateja wao mkoani Tanga  iliyofanyika kwenye hotel ya Tanga Beach Resort,kulia ni Shehe wa Mkoa wa Tanga,Juma Luwuchu na kushoto ni Meneja wa Benki ya DTB Mkoani Tanga,Athumani Juhudi
 MKUU wa wilaya ya Tanga,Thobias mwilapwa akizungumza wakati wa futari hiyo
 Shehe wa Mkoa wa Tanga,Juma Luwuchu akitoa neno kwenye futari hiyo
 Meneja wa Benki ya Diamond Trust BankMkoani Tanga (DTB) Athumani Juhudi akizungumza na waandishi wa habari.
Kwa habari kamili BOFYA HAPA


Hivyo makala BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA

yaani makala yote BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/benki-ya-dtb-kupanua-wigo-wa-huduma-zao.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BENKI YA DTB KUPANUA WIGO WA HUDUMA ZAO MKOANI TANGA"

Post a Comment

Loading...