Loading...
title : KUMBUKUMBU
link : KUMBUKUMBU
KUMBUKUMBU
Marehemu Edmund Lawrence Mushi
Kuzaliwa:07/12/1973
Kufariki:22/06/2015
Leo 22/06/2017 Umetimiza miaka miwili tangu umefariki Huko Houston,TX,USA.Sisi ndugu zako umetuachia Huzuni na pengo ambalo halitazibika.Unakumbukwa sana na watoto zako Luis(Anwar) na Jermaine.
Unakumbukwa na Baba yako Mzazi mzee Lawrence Mushi Kimbori,Wadogo zako Rudolf(dofu),Gaudence,Fulgence,Renatus(Kulwa),Claudia,Martha(Dotto/Manka) na Mary(Mkakeni).Unakumbukwa na Ukoo wote wa Kimbori na Massawe.
Unakumbukwa na ndugu Jamaa na marafiki zako wote.Pia Unakumbukwa na wanajumuiya wa Tanzania Houston Community (THC) Houston TX, USA.Bwana alitoa,Bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe,
Amen.
Hivyo makala KUMBUKUMBU
yaani makala yote KUMBUKUMBU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/kumbukumbu.html
0 Response to "KUMBUKUMBU"
Post a Comment