Loading...

CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa

Loading...
CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa
link : CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa

soma pia


CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa

Mwambawahabari

Mbunge wa Arusha mjini, Mh. Godbless Jonathan Lema amedai Vyombo vya usalama vimezuia kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Moshi mjini Mh. Philemon Ndesamburo kwenye uwanja wa Mashujaa. 

Hatua hiyo inakuja ikiwa tayari maandalizi yameanza kufanywa katika Uwanja wa Mashujaa kwa ajili ya kuuga mwili wa Ndesamburo lakini OCD Moshi  amezuia na kusema shughuli hiyo itafanyika Majengo badala ya Mashujaa kuepuka kuzuia shughuli za kila siku.


Hivyo makala CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa

yaani makala yote CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/chadema-wazuiwa-kumuaga-mzee-ndesamburo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHADEMA Wazuiwa Kumuaga Mzee Ndesamburo Uwanja wa Mashujaa"

Post a Comment

Loading...