Loading...

DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR

Loading...
DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR
link : DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR

soma pia


DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR

Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika (kulia) pamoja na Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa taasisi hiyo, Rahma Amoud (wa pili kulia) wakikabidhi sehemu ya vyakula kwa Bi. Aisha Mohamed (kushoto) mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika leo Juni 24, 2017. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mpakani, Saleh Kawambwa.
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Rahma Amoud akikabidhi sehemu ya vyakula kwa wakazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika leo Juni 24, 2017. 
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Elimu wa Taasisi ya Doris Mollel, Rahma Amoud akikabidhi sehemu ya vyakula kwa Bi. Ashura Nassor mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, iliyofanyika leo Juni 24, 2017. Katikati ni Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mpakani, Shaban Kawambwa.
Mratibu wa Matukio ya Kijamii wa Taasisi ya Doris Mollel, Alice Mwakatika akimkabidhi mfuko wa sandarusi wenye vyakula mbalimbali Mtoto Biatha Shembilu (14)  ambaye ni mgonjwa wa moyo mkazi wa eneo la Mpakani Kata ya Ndugumbi, Magomeni Kagera jijini Dar es salaam ikiwa ni mkono wa Eid el Fitr kutoka Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Rehema, leo Juni 24, 2017.


Hivyo makala DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR

yaani makala yote DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/dmf-yatoa-mkono-wa-eid-el-fitr-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DMF YATOA MKONO WA EID EL FITR KWA WAKAZI WA MAGOMENI KAGERA JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...