Loading...
title : DROO YA MAKUNDI YA NDONDO CUP YAPANGWA, KUANZA JUNI 17
link : DROO YA MAKUNDI YA NDONDO CUP YAPANGWA, KUANZA JUNI 17
DROO YA MAKUNDI YA NDONDO CUP YAPANGWA, KUANZA JUNI 17
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
DROO ya makundi ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup imepangwa ambapo timu 32 zinatarajiwa kupambana katika kinyang'anyiro hicho.
Michuano hiyo ambayo ambayo bingwa mtetezi ni Temeke Market itaanza Jumamosi ya Juni 17 ambapo timu za Makuburi FC itacheza na Stimtosha kwenye uwanja wa Kinesi katika mchezo wa ufunguzi.
Bingwa huyo mtetezi amepangwa kundi G pamoja na timu za Makuburi, Stimtosha na Dar Polisi College.
Makundi hayo yamepangwa kama ifuatavyo:
Kundi A
Misosi FC
Buguruni United
Kibo Combine
Mdandu Investment
Kundi B
Kibada One
Madiba FC
Burudani FC
Twiga International
Kundi C
Tabata United
Wauza Matairi
Mpakani Combine
Vijana Rangers
Kundi D
Boom FC
Temeke Squard
Tandavamba FC
Vituka FC
Kundi E
Keko Furniture
Mlalakuwa Rangers
Black Six
Goroka FC
Kundi F
Kigogo Combine
Goms United
Ukwamani
Kigoma Combine
Kundi G
Temeke Market
Makuburi FC
Stimtosha FC
Dar Police College
Kundi H
Kauzu FC
Faru Jeuri
Shelaton
Miami FC
Hivyo makala DROO YA MAKUNDI YA NDONDO CUP YAPANGWA, KUANZA JUNI 17
yaani makala yote DROO YA MAKUNDI YA NDONDO CUP YAPANGWA, KUANZA JUNI 17 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DROO YA MAKUNDI YA NDONDO CUP YAPANGWA, KUANZA JUNI 17 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/droo-ya-makundi-ya-ndondo-cup-yapangwa.html
0 Response to "DROO YA MAKUNDI YA NDONDO CUP YAPANGWA, KUANZA JUNI 17"
Post a Comment