Loading...
title : GEPF yaipatia mkopo wa mil. 500 Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd
link : GEPF yaipatia mkopo wa mil. 500 Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd
GEPF yaipatia mkopo wa mil. 500 Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd
Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa GEPF, Joce Shaidi akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 500, kwa Meneja wa Chama cha sukari cha WAFANYAKAZI cha kukopa na kuweka cha mkoani kagera (Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd), Robert Mshoki, kwa ajili ya Sacoss mbalimbali za Mkoani Kagera, katika hafla fupi ya kutiliana saini, iliyofanyika leo Jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko wa GEPF, Joce Shaidi akisaini mkataba wa Mkopo wa kiasi cha Shilingi Milioni 500 na Chama cha sukari cha WAFANYAKAZI cha kukopa na kuweka cha mkoani kagera (Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd), kwa ajili ya Sacoss mbalimbali za Mkoani Kagera, katika hafla fupi ya kutiliana saini, iliyofanyika leo Jijini Dar es salaam. Katikati ni Meneja wa Chama hicho, Robert Mshoki na kulia ni Mrajisi Msaidizi kutoka Kagera Sugar, R. Kitambo
Hivyo makala GEPF yaipatia mkopo wa mil. 500 Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd
yaani makala yote GEPF yaipatia mkopo wa mil. 500 Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala GEPF yaipatia mkopo wa mil. 500 Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/gepf-yaipatia-mkopo-wa-mil-500-sukari.html
0 Response to "GEPF yaipatia mkopo wa mil. 500 Sukari Savings & Credit Cooperative Society Ltd"
Post a Comment