Loading...
title : UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF
link : UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF
UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya soka ya Yanga Seneta Imani Maugila Madega
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya soka ya Yanga Seneta Imani Maugila Madega amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF.
Madega anakua ni mtu wa pili kuchukua fomu ya Urais baada ya Rais anaemaliza muda wake Jamal Malinzi kuchukua mapema asubuhi ya leo.
Hivyo makala UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF
yaani makala yote UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/uchaguzi-tff-imani-madega-achukua-fomu.html
0 Response to "UCHAGUZI TFF: IMANI MADEGA ACHUKUA FOMU YA URAIS WA TFF"
Post a Comment