Loading...

Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki

Loading...
Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki
link : Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki

soma pia


Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki


Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwaakimshukuru Bw. Hamodu H. Mvungi mara baada ya kushiriki katika futari hiyo pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria.
Bw. Hamidu H. Mvungi miliki wa kijiji cha Hamidu City Park, Mikwambe Kibada Kigamboni chenye nyumba 1500 akizungumza na wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika futari aliyowaandalia wageni wake wakiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mh .Hashim Mgandilwa ambapo aliwashukuru wageni waalikwa hao kwa kujumuika naye katika futari hiyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan, huku akiwatambulisha makazi hayo yenye nyumba za kuuza ambapo ameshirikiana na mabenki mbalimbali na kukopesha kwa watu wanaohitaji nyumba katika kijiji hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa na Mwenyeji wake Bw. Hamidu Mvungi wakiongoza wageni waalikwa katika futari hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika futari hiyo wakichukua chakula.
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni,Hashim Mgandilwa katikati , Mwenyeji wake Bw. Hamidu Mvungi pamoja na wageni wake wakipata futari.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigamboni, Rahel Mhando pamoja na wageni mbalimbali waalikwa wakishiriki katika futari hiyo iliyoandaliwa na Bw. Hamidu Mvungi nyumbano kwake Kigamboni.



Hivyo makala Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki

yaani makala yote Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/hamidu-city-park-ya-kigamboni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hamidu City Park ya Kigamboni Yawaandalia futari Waislamu, ndugu jamaa na marafiki"

Post a Comment

Loading...