Loading...

HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR

Loading...
HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR
link : HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR

soma pia


HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR

Hivi ndivyo Ufukwe wa Coco (Coo Beach) ulivyofurika watu wa aina mbalimbali hapo jana jioni, katika kusherehekea sikukuu ya Iddi pili,Mabasi/Daladala kutoka kona kadhaa za jiji la Dar zilionekana zikishusha watu kwa wingi katika ufukwe huo ambao ulisheheni pia vyakula vya kila aina ikiwemo Mihogo,Chips mayai na wengine walikutwa na Camera ya Blogu ya jamii wakiwa wemebeba vyakula vyao na kujibweda kando kando ya ufukwe,ama kwa hakika ilikuwa burudani kwa wakazi wa jiji la Dar.Picha na Michuzi Jr.

Kuhakikisha ulinzi na usalama wa kutosha unakuwepo,Jeshi la Polsi lilipiga kambi kabisa eneo hilo,kwa idadi ya watu ilikuwa ni kubwa.
Sehemu za kupaki magari zikaonekana hazitoshi kabisa
Foleni ya kuingia kando kando ya ufukwe nayo ilikuwa kubwa kiasi ambacho magari mengine yalipita kwa taabu kuendelea na safari zake.
Chopa ya Jeshi la polisi nayo ilikuwa na kazi ya ziada kama hivi ya kukagua meneo mbalimbali yaliyokuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu,Pichani chini Chopa ikionekana kwa mbali ilipokuwa ikikatiza maeneo hayo.



Hivyo makala HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR

yaani makala yote HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/hivi-ndivyo-coco-beach-ilivyofurika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HIVI NDIVYO COCO BEACH ILIVYOFURIKA JIONI YA JANA JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...