Loading...

MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO

Loading...
MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO
link : MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO

soma pia


MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma mjini, Anthony Mavunde leo amefanya ziara ya kutembelea maeneo ya katikati ya mji na kusikiliza kero zinazowakabili wananchi hasa wafanyabiashara ndogo ndogo.

Hatua hiyo ya Mavunde imetokana na Ofisi yake ya Mbunge kuweka utaratibu wa kuwasikiliza wananchi kero zao na matatizo yao kila Alhamis(kero za Ardhi) na Ijumaa(Mambo ya kijamii).

Hata hivyo kwa siku ya leo kutokana na mapumziko ya Sikukuu ya Eid El Fitr, Mavunde ambaye ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ameamua kutembea maeneo mbalimbali ya mjini katikati na kusikiliza kero za wananchi.

Maeneo aliyotembelea ni pamoja na eneo la ‘One way’ ambalo kuna wafanyabiashara wengi wakubwa na wadogo na barabara ya sita ambako ni maarufu kwa maduka ya simu katika kata ya Madukani.

Akizungumza mara baada ya kuwatembelea wananchi hao, Mavunde ameahidi kuzipatia ufumbuzi baadhi ya kero zinazowasibu wafanyabiashara hao.
Mbunge wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwasikiliza wafanyabiashara ndogo ndogo(machinga) katika eneo la ‘One way’.
Mbunge wa Dodoma mjini, Anthony Mavunde akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyabiashara katika maduka ya simu barabara ya sita.



Hivyo makala MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO

yaani makala yote MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mavunde-aahidi-kuzitatua-kero-za_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAVUNDE AAHIDI KUZITATUA KERO ZA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO"

Post a Comment

Loading...