Loading...

IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji

Loading...
IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji
link : IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji

soma pia


IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro juni 6 alifanya mazungumzo na wazee pamoja na viongozi wa dini wilayani Kibiti mkoani Pwani ili kubaini wahalifu wanaotekeleza mauaji ya watu wilayani humo na kusema vyovyote itakavyokuwa lazima watawarudisha kwenye msitari.

IGP Sirro alisema kupitia mazungumzo hayo tayari amepata taarifa za wahalifu hao ingawa ni mapema kuziweka wazi ila amewahakikishia wananchi kuwa wahalifu wao ni lazima watapatikana.

“Kubwa ni kwamba wazee wetu wa Kibiti wametueleza taarifa nyingi sana na mnavyojua hawa wahalifu wanaishi ndani ya Kibiti, ndani ya Ikwiriri, kwa hiyo wazee wetu wamejaribu kutueleza ni wapi tunaweza kuwapata na chanzo cha mambo yote haya,” alisema IGP Sirro na kuongeza kuwa

“Kwa hiyo kimsingi mambo mengine mengi ni ya kipelelezi ambayo siwezi kuyasema kwa sasa, lakini kikubwa wametupa dira, muelekeo kwa maana kwamba wale ndugu zetu au maadui zetu kwa lugha nyepesi tumepata njia nzuri ya kudeal nao. Kwa hiyo nitume salamu kwao kwamba waendelee kukimbia lakini njia ya muongo ni fupi na mwisho wa siku tutawarudisha kwenye mstari"


Hivyo makala IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji

yaani makala yote IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/igp-sirro-atangaza-msako-mkali-kibiti.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP Sirro atangaza msako mkali Kibiti na Rufiji"

Post a Comment

Loading...