Loading...
title : KAMISHNA MKUU WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : KAMISHNA MKUU WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
KAMISHNA MKUU WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
MwambawahabariNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga, wakati Kamishna huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kupambana na dawa za kulenya nchini.
Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga (kulia), akimfafanulia jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati Kamishna huyo alipomtembelea Masauni ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kupambana na dawa za kulenya nchini.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Kamishna wa Intelejensia wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Fredrick Kibuta (kulia), alipokua anatoa ufafanuzi jinsi ya kupambana na dawa za kulevya nchini. Katikati ni Kamishna Mkuu wa Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Sianga. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Masauni, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hivyo makala KAMISHNA MKUU WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote KAMISHNA MKUU WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA MKUU WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/kamishna-mkuu-wa-kupambana-na-dawa-za.html
0 Response to "KAMISHNA MKUU WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA NCHINI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI MASAUNI, JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment