Loading...
title : KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA MJINI DODOMA
link : KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA MJINI DODOMA
KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA MJINI DODOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akiagana na BALOZI WA Umoja wa Ulaya nchini mhe. Van De Geer Roeland baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na timu yake. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Katibu Mkuu Prof Mchome mjini Dodoma. Katika kikao hicho suala la upatikanaji wa haki kwa watu wote nchini hususan watu wasio na uwezo lilijadiliwa ikiwa ni pamoja na kuimarisha na kuboresha mahusiano mazuri baina ya Wizara na Umoja wa Ulaya.
Hivyo makala KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA MJINI DODOMA
yaani makala yote KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/katibu-mkuu-katiba-na-sheria-akutana-na.html
0 Response to "KATIBU MKUU KATIBA NA SHERIA AKUTANA NA BALOZI WA JUMUIYA YA ULAYA MJINI DODOMA"
Post a Comment