Loading...

Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC

Loading...
Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC
link : Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC

soma pia


Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika MasharikI, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akimsikiliza Afisa Mkuu wa Uhusiano wa Sekrearieti ya Jumuiya ya Afrika Mshariki, Bw. Otrhieno Richard Owora (kushoto). Katika mazungumzo hayo, wawili hao walizungumzia maandalizi ya uzinduzi wa mashindano ya kubuni nembo mpya ya EAC yatakayowahusisha wanafunzi wa Vyuo Vikuu vilivyopo kwenye nchi wanachama wa Jumuiya hiyo. Uzinduzi huo utafanyika kwenye Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam tarehe 09 Juni 2017. 
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kushoto), pamoja na Maafisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, wa kwanza kulia ni Bw. Ally Kondo pamoja na Robi Bwiru wakinukuu mambo yaliyokuwa yakizungumzwa na Balozi Mwinyi pamoja na Bw. Owora. 
Mazungumzo yakiendelea. 
Balozi Mwinyi akipokea kitabu chenye mwongozo wa namna ya kushiriki mashindano hayo. 
Picha ya pamoja. 




Hivyo makala Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC

yaani makala yote Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/vijana-wahamisishwa-kushiriki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Vijana wahamisishwa kushiriki mashindano ya kubuni nembo ya EAC"

Post a Comment

Loading...