Loading...

KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.

Loading...
KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.
link : KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.

soma pia


KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.

Usafi wa kila mwisho wa mwezi waimarisha mazingira nchini

KILA ifikapo Juni 5 kila mwaka, zaidi ya nchi 100 zinaadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Jovina Bujulu wa Idara ya Habari (MAELEZO) anaelezea umuhimu wa siku hii ambayo hapa nchini itaadhimishwa tarehe 3 na 4 mkoani Mara katika kijiji cha Butiama. 

Madhumuni makubwa ya maadhimisho haya ni kuhamasisha jamii duniani kote kuelewa masuala yanayohusu mazingira na pia kuhamasisha watu kulinda na kuhifadhi mazingira. Aidha, ni siku ambayo jamii inatakiwa kutambua umuhimu wa kulinda na kuhifaddhi mazingira kwa ustawi na maendeleo ya nchi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Muungano na Mazingira, maadhimisho hayo mwaka huu yatafanyika kijijini Butiama ili kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na kukumbuka mchango wake mkubwa katika masuala ya mazingira.

Wakati wa maadhimsho hayo shughuli mbalimbali zitafanyika zikiwemo kupanda miti, kuendesha mijadala mbalimbali na kongamano la viongozi kuhusu mazingira na pia kufanya maonyesho ya shughuli za mazingira.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ambayo Kauli Mbiu ya mwaka huu niHifadhi ya Mazingira: Muhimili kwa Tanzania ya Viwanda atakuwa Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan. Kaulimbiu hii inahamasisha Utunzaji wa mazingira wakati tukielekea uchumi wa viwanda.

Tarehe 9 Desemba mwaka jana, Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli aliamuru kusitisha maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika na badala yake siku hiyo iadhimishwe kwa kufanya usafi wa mazingira nchini kote. 



Hivyo makala KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI.

yaani makala yote KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/kuelekea-siku-ya-mazingira-duniani_1.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KUELEKEA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI."

Post a Comment

Loading...