Loading...
title : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE
link : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE
MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE
Mmoja kati ya Watumishi wa Umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe akiuliza swali wakati wa kikao kazi na Naibu Katibu Mkuu-Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. #wikiyautumishi 2017
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw.Micky Kiliba,akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiutumishi yaliyojitokeza katika kikao kazi na Watumishi wa Umma. #wikiyautumishi 2017
Mkurugenzi Idara ya Uchambuzi na Ushauri Kazi Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw.Micky Kiliba,akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiutumishi yaliyojitokeza katika kikao hicho. #wikiyautumishi2017
Mkurugenzi Idara ya Ukuzaji Maadili Ofisi ya Rais,UTUMISHI Bw. Mathew Kirama akitoa mada kuhusu maadili katika Utumishi wa Umma ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. #wikiyautumishi 2017
Mmoja wa Watumishi wa Umma kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songwe akiuliza swali wakati wa kikao kazi cha Wiki ya Utumishi wa Umma na viongozi wa Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2017. #wikiyautumishi 2017
Viongozi na Watumishi wa Umma wa Halmshauri ya Wiaya ya Songwe waliohudhuria kikao hicho.#wikiyautumishi 2017
Hivyo makala MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE
yaani makala yote MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/maadhimisho-ya-wiki-ya-utumishi-wa-umma_17.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA: SONGWE"
Post a Comment