Loading...

MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA

Loading...
MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA
link : MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA

soma pia


MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala , Omary Kumbilamoto akikabidhi mchango wake wa shilingi laki tatu katika harambee ya kuchangia Madrassa ya Muumini Islamiya iIliyopo kiwalani Dar es Salaam
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akikabidhi mchango wake kwa Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kwa ajili ya Muumini islamiya.
Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiongoza harambee ya uchangiaji wa Madrasa Kiwalani Temeke jijini Dar es Salaam ambapo aliwezesha kupatika kwafedha zaidi ya Milioni 7 kwa ajili ya ununuzi wa kiwanja kipya cha Madrasa hiyo
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akizungumza wakati alipokuwakitoa ahadi yake ya Milioni moja kwa ajili ya Madrasa hiyo na aliweza kuwasilisha shilingi laki tano papo hapo na kuongeza ahadi ya bati 70 na mifuko 50 ya Saruji.



Hivyo makala MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA

yaani makala yote MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/maalim-seif-aongoza-harambee-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAALIM SEIF AONGOZA HARAMBEE YA MADRASSA MUUMINI KIWALANI KUWEZESHA KUPATIKANA MILIONI SABA"

Post a Comment

Loading...