Loading...

MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA.

Loading...
MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA.
link : MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA.

soma pia


MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA.

mwambawahabari
unnamed
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini wakimsikiliza Mgeni rasmi hayupo pichani katika ufunguzi wa mafunzo hayo aliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
1
Mkurugenzi Ajira kutoka Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Ameir Ali Ameir akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini yaliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
2
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini wakimsikiliza Mgeni rasmi hayupo pichani katika ufunguzi wa mafunzo hayo aliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
3
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas akitoa hotuba ya ufunguzi katika mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini yaliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
4
-Mkurugenzi Ajira kutoka Wizara ya Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Ameir Ali Ameir akitoa mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini yaliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA.

yaani makala yote MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mafunzo-kwa-watafutaji-kazi-kwa-wilaya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAFUNZO KWA WATAFUTAJI KAZI KWA WILAYA YA MJINI ZANZIBAR YATOLEWA."

Post a Comment

Loading...