Loading...
title : Mafunzo kwa watafutaji kazi Wilaya ya mjini
link : Mafunzo kwa watafutaji kazi Wilaya ya mjini
Mafunzo kwa watafutaji kazi Wilaya ya mjini
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini wakimsikiliza Mgeni rasmi hayupo pichani katika ufunguzi wa mafunzo hayo aliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
Mkurugenzi Ajira kutoka Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee,Vijana, Wanawake na Watoto Ameir Ali Ameir akitoa hotuba ya kumkaribisha mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini yaliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini wakimsikiliza Mgeni rasmi hayupo pichani katika ufunguzi wa mafunzo hayo aliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas akitoa hotuba ya ufunguzi katika mafunzo kwa watafutaji kazi kuhusu mfumo wa Taarifa za soko la ajira kwa Wilaya ya Mjini yaliofanyika katika Ukumbi wa Hospitali ya Wagonjwa wa akili Zanzibar.
Hivyo makala Mafunzo kwa watafutaji kazi Wilaya ya mjini
yaani makala yote Mafunzo kwa watafutaji kazi Wilaya ya mjini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo kwa watafutaji kazi Wilaya ya mjini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mafunzo-kwa-watafutaji-kazi-wilaya-ya.html
0 Response to "Mafunzo kwa watafutaji kazi Wilaya ya mjini"
Post a Comment