Loading...
title : Makocha kutoka Zanzibar wanaofundisha Ligi Kuu Bara wawafungulia njia makocha wengine
link : Makocha kutoka Zanzibar wanaofundisha Ligi Kuu Bara wawafungulia njia makocha wengine
Makocha kutoka Zanzibar wanaofundisha Ligi Kuu Bara wawafungulia njia makocha wengine
Kocha wa Stand United, Hemed Morocco
Wengine wane wanahitajika
Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.
Idadi ya makocha kutoka Zanzibar kufundisha ligi kuu soka Tanzania bara huenda ikaongezeka msimu huu mpya wa mwaka 2017-18.
Taarifa za uhakika tulizozinasa mtandau huu kuna makocha wengne 4 huduma zao zinahitajika kwenye vilabu mbal mbali vya huko Bara.
Hayo yote yamekuja baada ya makocha wa kutoka Zanzibar msimu ulopita kufanya vzuri katika ligi hiyo na kuziweka salama klabu zao kubakia kwenye ligi hiyo.
Makocha hao wa Zanzibar waliyofundisha vilabu vya ligi kuu ya bara na kuzisaidia timu zao kutoshuka daraja ni Ali Bushir Mahmoud “Benitez” (Mwadui FC), Abdallah Mohammed Juma “Bares” (Prisons), Malale Hamsini Keya (Ruvu Shooting) na Hemed Suleiman “ Morocco” (Stand United).
Zaidi endelea kufatilia Mtandao huu utapata kuwajua ni makocha gani hao watakaopata shavu vilabu vya ligi kuu bara.
Hivyo makala Makocha kutoka Zanzibar wanaofundisha Ligi Kuu Bara wawafungulia njia makocha wengine
yaani makala yote Makocha kutoka Zanzibar wanaofundisha Ligi Kuu Bara wawafungulia njia makocha wengine Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makocha kutoka Zanzibar wanaofundisha Ligi Kuu Bara wawafungulia njia makocha wengine mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/makocha-kutoka-zanzibar-wanaofundisha.html
0 Response to "Makocha kutoka Zanzibar wanaofundisha Ligi Kuu Bara wawafungulia njia makocha wengine"
Post a Comment