Loading...

MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI

Loading...
MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI
link : MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI

soma pia


MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI

Mwambawahabari


kamu4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha Kamumusi Kuu ya Kiswahili baada ya kuizindua kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 19, 2017. Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala,  Mussa Azan Zungu. Kushoto ni Balozi wa Kiswahili Afrika, Mama Salma Kikwete. Wapili kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

kamu1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Kamusi Kuu ya Kiswahili kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kamu2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kamusi Kuu ya Kiswahili kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 19, 2017 (kushoto)  ni  Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kamu3 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu nakala ya Kamusi Kuu ya Kiswahili baada ya kuzindua kamusi hiyo kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, Juni 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kamu5


Hivyo makala MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI

yaani makala yote MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/majaliwa-azindua-kamusi-kuu-ya-kiswahili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AZINDUA KAMUSI KUU YA KISWAHILI"

Post a Comment

Loading...