Loading...
title : MAONENSHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
link : MAONENSHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
MAONENSHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
Mbunifu wa mavazi, Maryimaqulate Kavishe (kulia) akiwahudumia wageni waliotembelea kununua bidhaa zake wakati wa maonesho hayo.
Mbunifu wa mavazi, Jesca Matei (kushoto) akiwasikiliza wageni waliotembelea kununua bidhaa zake wakati wa maonesho hayo.
Mshiriki wa maonesho hayo Coleta Mzena (kushoto) akitabasamu kwa kamera pamoja na wageni waliotembelea kununua bidhaa zake wakati wa maonesho hayo.
William Gilhi akiwaonesha wageni bidhaa za Kampuni ya African Splash zinazopatikana pia online walipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonesho hayo.
Balozi wa Italia Nchini Tanzania, Roberto Mengoni (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunifu wa Mavazi nguli Mustafa Hassanal pia Mwasisi na Mtendaji Mkuu wa Basila Mwanukuzi Foundation, Basila Mwanukuzi katika maonesho ya Mavazi na bidhaa za Kitamaduni nyumbani kwa Balozi huyo Kando ya Barabara ya Kenyatta Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Maonesho hayo yaliratibiwa na Swahili Fashion Week. (Picha zote na Robert Okanda Blogspot) .
Hivyo makala MAONENSHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MAONENSHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAONENSHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/maonensho-ya-swahili-fashion-week.html
0 Response to "MAONENSHO YA SWAHILI FASHION WEEK YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment