Loading...

Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia

Loading...
Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia
link : Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia

soma pia


Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia


  RAIA wa Tanzania Laigwanani Mollel na Ziporah Godfrey Mollel walioshiriki michuano ya soka kimataifa ya Football for Friendship(F4F) wameondoka Urusi kurejea Tanzania wakiwa na ndoto yakuiwakilisha Tanzania katika Kombe la Dunia siku moja.

Michuano hiyo ya F4F ilishirikisha watoto wenye miaka 12 kutoka nchi 211 na imefanyika kwa mwaka wa sita tangu kuanzishwa kwake. Laigwanani na Ziporah wakitokea akademi ya Lengo Football ya Arusha Tanzania wameondoka Urusi kurejea Tanzania wakisema ndoto yao kubwa ni kuiwakilisha Tanzania katika Kombe la Dunia siku za usoni.

“Niiwakilisha vizuri Tanzania kwa kupeperusha bendera ya taifa kwenye sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia mwaka huu, ilikuwa kabla ya mechi ya ufunguzi ya Urusi na Saudi Arabia. “Nilikuwa na uchovu sana baada ya kazi ya siku ile lakini naamini nimepata hamasa ya kuiwakilisha nchi yangu katika Kombe la Dunia siku zijazo kwa mimi mwenyewe kucheza uwanjani,” alisema Laigwanani.

Kwa upande wake, Ziporah alisema; “Nitakua na faraja sana kwa sababu Tanzania haijawahi kufuzu katika fainali za Kombe la Dunia, hivyo nitakuwa ni mimi ninaye iwakilisha nchi yangu. “Nitajisikia ujasiri na nitaiwakilisha nchi yangu vizuri na najua katika mawazo yangu kuwa siku moja Tanzania itakuwa hapa katika fainali za Kombe la Dunia.”

Program hii ya Kijamii ya F4F ni programu ya kijamii inayojumuisha siku tatu za mafunzo ya soka na kila timu kati ya timu 32 kutoka duniani kote zilizipewa majina ya wanyama walio hatarini kupotea. Timu zilizoundwa zilijumuisha wachezaji kutoka kila pembe ya dunia, kutoka mataifa makubwa na wadogo bila kujali, dini, tamaduni na ushawishi wa kisiasa na wa kiitikadi.







Hivyo makala Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia

yaani makala yote Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/watoto-wa-kitanzania-waweka-lengo-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Watoto wa Kitanzania waweka lengo la kuipeleka Tanzania Kombe la Dunia"

Post a Comment

Loading...