Loading...
title : Matukio Kisiwani Pemba.
link : Matukio Kisiwani Pemba.
Matukio Kisiwani Pemba.
Wananchi katika Wilaya ya Chakechake Kisiwani Pemba wanaiomba taasisi husiku kulivunja jengo hili lililojengwa na mkandarasi likiwa chini ya kiwango cha ujenzi wake na kutokea hitilafu za kupasuka kuta zake kabla ya ujenzi kumalizika na mkandarasi husika kuingia miti. SWanaomba kuchukuliwa hatu za kulivunja jengo hilo kuepusha kuleta athari zaidi katika eneo hilo. (Picha na Haji Nassor, Pemba).
Hivyo makala Matukio Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Matukio Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Matukio Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/matukio-kisiwani-pemba.html
0 Response to "Matukio Kisiwani Pemba."
Post a Comment