Loading...

Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa.

Loading...
Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa.
link : Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa.

soma pia


Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa.

Na: Abubakar Khatib Kisandu, 
Mlinzi mpya wa Yanga Abdallah Haji Shaibu "Ninja" amezawadiwa vifaa vya soka na Mohammed Ibrahim “Raza Lee” ambae ni mdau wake mkubwa.

Vifaa hivyo vikiwemo Viatu vya kucheza soka pamoja na jezi full ambavyo amepewa mchana wa leo katika Duka la Raza Lee ambapo linauza Vifaa vya Michezo liliopo Darajani Mjini Unguja.

Akizungumza na Mtandao huu Raza Lee baada ya kumzawadia Ninja vifaa hivyo, amesema amefurahi sana kumuona Ninja amesajiliwa Yanga huku akisema kuwa ndie mchezaji wake namba moja anaemkubali katika soka la Tanzania.

“Niliposikia Ninja kasajiliwa Yanga nilifurahi sana nikasema sasa mchezaji wangu anazidi kufanikiwa kisoka, mimi Ninja nampenda sana na ndio mana hapa Dukani tangu hajasajiliwa Yanga huwa nampa vifaa kama kumpa hamasa, sasa na leo nimempa vifaa vya kuvaa katika mchezo wake wa mwisho Ijumaa wa kuagwa Taifa ya Jang’ombe”. Alisema Raza Lee.

Jumatano iliyopita Ninja amesajiliwa Yanga akitokea Taifa ya Jang’ombe ya Zanzibar ambapo amefunga mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo na siku ya Ijumaa ya June 23 Saa 3:00 za usiku katika Uwanja wa Amaan mchezaji huyo atawaaga Mashabiki wake katika mchezo maalum kati ya Taifa ya Jang’ombe dhidi Mlandege SC.


Hivyo makala Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa.

yaani makala yote Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/ninja-wa-yanga-apewa-vifaa-na-raza-lee.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ninja wa Yanga Apewa Vifaa na Raza Lee Kwa Ajili ya Kuwaaga Mashabiki Wake Siku ya Ijumaa."

Post a Comment

Loading...