Loading...
title : MAZOEZI YA AFC LEOPARDS YA KENYA UWANJAWA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : MAZOEZI YA AFC LEOPARDS YA KENYA UWANJAWA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM LEO
MAZOEZI YA AFC LEOPARDS YA KENYA UWANJAWA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, leo Juni 4, 2017 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini, ambapo fungua dimba itakuwa ni kati ya Singida Utd na AFC Leopards, mechi ya pili itakuwa ni kati ya wenyeji Yanga na Tusker Fc na Juni 6 mchezo wa kwanza utakuwa ni kati ya Simba vs Nakuru Nakuru All Stars na mchezo wa pili utakuwa ni kati ya Gor Mahia ya Kenya Vs Jang'ombe Boys Fc. ya Zanzibar
Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, leo Juni 4, 2017 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini
Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, leo Juni 4, 2017 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini
Wachezaji wa timu ya AFC Leopards ya Kenya wakiwa katika mazoezi ya pamoja katika Uwanja wa karume jijini Dar es Salaam, leo Juni 4, 2017 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya 'SportPesa Super Cup' inayoanza kutimua vumbi kesho Juni 5 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini.
Picha na Montage Onpoint
Hivyo makala MAZOEZI YA AFC LEOPARDS YA KENYA UWANJAWA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote MAZOEZI YA AFC LEOPARDS YA KENYA UWANJAWA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAZOEZI YA AFC LEOPARDS YA KENYA UWANJAWA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mazoezi-ya-afc-leopards-ya-kenya.html
0 Response to "MAZOEZI YA AFC LEOPARDS YA KENYA UWANJAWA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment