Loading...

Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga

Loading...
Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga
link : Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga

soma pia


Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga

 
Mbunge wa Viti Maalumu Bi Amina Mollel, akiwakabidhi msaada wa vitu Mbalimbali Wanafunzi wenye mahitaji Maalumu wa Shule ya Msingi Buhangija iliyopo mkoani Shinyanga, Sambamba na Msaada huo aliweza Kukabidhi Kadi za Bima ya Afya Kwa ajili ya Matibabu. 
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Buhangija Wakiwa wameketi, Wakati Mbunge wa Viti Maalum Bi Amina Mollel alipofika Kwenye Kituo hicho Kukabidhi Misaada ya Vitu Mbalimbali Ikiwemo Chakula na Kadi ya Bima ya Afya Kwa ajili ya Matibabu Kwa Watoto hao. 
Mbunge wa Viti Maalum Bi Amina Mollel akipata Maelezo Mbalimbali Kutoka Mmoja wa Viongozi wa Kituo cha Buhangija Kinachohudumia Watoto wenye Mahitaji Maalum.

 
Watoto wenye Albnism Wanaosoma Shule ya Msingi Buhangija iliyopo Mkoani Shinyanga Wakimsikiliza Mbunge wa Viti Maalum Bi Amina Mollel, aliyefika Kwenye Kituo Hicho Kuwapatia Msaada wa Vitu Mbalimbali ikiwemo Kadi za Bima ya Afya Katika Mwezi Huu Mtukufu wa Ramadhani.

 
Mbunge wa Viti Maalum Bi Amina Mollel akizungumza na Baadhi ya Viongozi pamoja na Walimu Katika Shule ya Msingi ya Buhangija iliyopo Mkoani Shinyanga, Baada ya Kukabidhi Msaada wa Vitu Mbalimbali pamoja na Kadi za Bima ya Afya Kwa ajili ya Matibabu Kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum. 

Walimu wa Shule ya Msingi ya Buhangija Wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Bi Amina Mollel ambae alifika Kwenye Shule hiyo Kwa ajili ya Kutoa Msaada Kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum.

Picha kwa Hisani ya www.habari360.co.tz


Hivyo makala Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga

yaani makala yote Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mbunge-amina-mollel-awakumbuka-watoto.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mbunge AMINA MOLLEL awakumbuka Watoto Wenye Mahitaji Maalum, Shinyanga"

Post a Comment

Loading...