Loading...
title : MBUNGE WA MUFINDI MJINI ATOA MSAADA WA VITANDA SHULE YA SEKONDARI YA ISALAVANU
link : MBUNGE WA MUFINDI MJINI ATOA MSAADA WA VITANDA SHULE YA SEKONDARI YA ISALAVANU
MBUNGE WA MUFINDI MJINI ATOA MSAADA WA VITANDA SHULE YA SEKONDARI YA ISALAVANU
Hii ndio hali ilivyokuwa kwa Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Isalavanu wilayani Mufindi mkoa wa mkoani Iringa ambao walikuwa wanalala kwa kutandika magodoro sakafuni. Zishukuriwe jitihada za Mbunge wa Mufindi mjini Mhe. Cosato Chumi ambaye kwa kushirikiana na wadau wake wa maendeleo amekabidhi vitanda 35 aina ya double decker kuondoa adha hiyo.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Isalavanu wilayani Mufindi mkoa wa mkoani Iringa wakimshangilia Mbunge wa Mufindi mjini Mhe. Cosato Chumi wakati anashusha vitanda vyao
Vitanda 35 aina ya double decker vikiwa vimewasilishwa shuleni hapo na Mbunge wa Mufindi mjini Mhe. Cosato Chumi.
Hivyo makala MBUNGE WA MUFINDI MJINI ATOA MSAADA WA VITANDA SHULE YA SEKONDARI YA ISALAVANU
yaani makala yote MBUNGE WA MUFINDI MJINI ATOA MSAADA WA VITANDA SHULE YA SEKONDARI YA ISALAVANU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA MUFINDI MJINI ATOA MSAADA WA VITANDA SHULE YA SEKONDARI YA ISALAVANU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mbunge-wa-mufindi-mjini-atoa-msaada-wa.html
0 Response to "MBUNGE WA MUFINDI MJINI ATOA MSAADA WA VITANDA SHULE YA SEKONDARI YA ISALAVANU"
Post a Comment