Loading...
title : MHE. BALOZI WILSON MASILINGI KATIKA FUTARI YA PAMOJA YA WANA DMV, MAREKANI
link : MHE. BALOZI WILSON MASILINGI KATIKA FUTARI YA PAMOJA YA WANA DMV, MAREKANI
MHE. BALOZI WILSON MASILINGI KATIKA FUTARI YA PAMOJA YA WANA DMV, MAREKANI
Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Col. Aldoph Mutta (kushoto) akimlaki Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi siku ya Jumamosi June 17, 2017 siku Mhe. Balozi alipokua mgeni rasmi kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Waislam DMV (TAMCO) Silver Spring, Maryland.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi akipokewa na mwenyekiti wa Jumuiya ya Waislam DMV (TAMCO) ustaadh Ally Mohamed mara tu alipowasili na kujumuika na wanajumuiya hao waislam wa DMV na marafiki zao katika futari ya pamoja iliyofanyika siku ya Jumamosi June 17, 2017 Silver Spring, Maryland.
.
Kutoka kushoto ni Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Canada, Col. Aldoph Mutta, mkuu wa idhaa ya Kiswahili Voice of America (VOA) Dr. Hmza Mwamoyo, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi na The Maryland House of Delegates Legislative District 41 Baltimore City Mhe. Bilal Ali ambaye nae alialikwa na Jumuiya hiyo kwenye futari ya pamoja DMV.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Wilson Masilingi na The Maryland House of Delegates Legislative District 41 Baltimore City Mhe. Bilal Ali wakiongozwa na mkuu wa idhaa ya Kiswahili Voice of America (VOA) Dr. Hmza Mwamoyo kwenye futari ya pamoja iliyofanyika siku ya Jumamosi June 17, 2017 Silver Spring, Maryland.
Hivyo makala MHE. BALOZI WILSON MASILINGI KATIKA FUTARI YA PAMOJA YA WANA DMV, MAREKANI
yaani makala yote MHE. BALOZI WILSON MASILINGI KATIKA FUTARI YA PAMOJA YA WANA DMV, MAREKANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MHE. BALOZI WILSON MASILINGI KATIKA FUTARI YA PAMOJA YA WANA DMV, MAREKANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mhe-balozi-wilson-masilingi-katika.html
0 Response to "MHE. BALOZI WILSON MASILINGI KATIKA FUTARI YA PAMOJA YA WANA DMV, MAREKANI"
Post a Comment