Loading...
title : MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA UONGOZI YA BUNGE
link : MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA UONGOZI YA BUNGE
MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA UONGOZI YA BUNGE
MwambawahabariSpika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati ya Uongozi kilichokutana jana usiku katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichokutana jana usiku katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge wakiwa tayari kwa ajili ya kuanza kwa kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika jana usiku katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi kilichokutana jana usiku katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma, kulia ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama.
Hivyo makala MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA UONGOZI YA BUNGE
yaani makala yote MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA UONGOZI YA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA UONGOZI YA BUNGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mheshimiwa-spika-wa-bunge-akiongoza.html
0 Response to "MHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE AKIONGOZA KIKAO CHA UONGOZI YA BUNGE"
Post a Comment