Loading...

MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo

Loading...
MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo
link : MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo

soma pia


MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Agricom Afrika, Angelina Ngalula (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya World Group Machine ya nchini China, Buxin Wang wakati wakitambulisha mashine za kisasa za kuvunia mpunga, baada ya kuingia makubaliano ya kuwa wauzaji wa mashine hizo hapa nchini. Kampuni ya Agricom ni Kampuni ya kizalendo inayojihusisha na uagizani na uuzaji wa pembejeo za kilimo ikiwa ni zile za kulimia, kuvunia. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Juni 29, 2017 katika ofisi zao zilizopo Mivinjeni, Kilwa Road jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Agricom Afrika, Angelina Ngalula (katikati) na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na ujumbe wa  Kampuni ya World Group Machine ya nchini China ulioongozwa na Mkurugenzi wake, Buxin Wang, uliofanyika leo Juni 29, 2017 katika ofisi zao zilizopo Mivinjeni, Kilwa Road jijini Dar es salaam.
Picha ya pamoja baada ya mkutano wao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Agricom Afrika, Angelina Ngalula (wa tatu kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya World Group Machine ya nchini China, Buxin Wang wakati wakitambulisha mashine za kisasa za kuvunia mpunga, baada ya kuingia makubaliano ya kuwa wauzaji wa mashine hizo hapa nchini. Kampuni ya Agricom ni Kampuni ya kizalendo inayojihusisha na uagizani na uuzaji wa pembejeo za kilimo ikiwa ni zile za kulimia, kuvunia. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Juni 29, 2017 katika ofisi zao zilizopo Mivinjeni, Kilwa Road jijini Dar es salaam. Wengine pichani toka kushoto ni Meneja Mipango wa Kampuni ya Agricom Afrika, Eric Mwidunda, Mkuu wa Kitengo cha Mauzo wa Kampuni ya World Group Machine ya nchini China, Jiayin Xu, Mtaalam wa Mashine hizo kutoka Kampuni ya World Group Machine ya nchini China, Yonghong Yu pamona na Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Agricom Afrika, Bernadetha Mariki.



Hivyo makala MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo

yaani makala yote MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/michuzi-tv-kampuni-ya-agricom-afrika-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MICHUZI TV: Kampuni ya Agricom Afrika na World Group Machine ya China zaingia makubaliano katika sekta ya kilimo"

Post a Comment

Loading...