MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBUROlink :
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO
MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira akisalimiana na Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Kilimanjaro alipofika nyumbani kwa Marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo kutoa pole kwa familia.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira akisalimiana na mtoto wa Marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo Bw. Sindato Ndesamburo alipotembelea nyumbani kwa marehemu kutoa pole kwa familia.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akitia saini katika kitabu cha waombolezaji mara baada ya kufika nyumbani kwa Marehemu Dkt Ndesamburo kutoa salamu za pole kwa familia.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira akizungumza jambo na mjane wa Marehemu Dkt Ndesamburo Mama Ndehorio Ndesamburo alipofika nyumbani kutoa salamu za pole kwa familia. Picha na Daily News blog.
Hivyo makala MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO
yaani makala yote MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mkuu-wa-mkoa-wa-kilimanjaro-mhe-anna.html
0 Response to "MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MHE. ANNA MGHWIRA AHANI MSIBA WA MZEE NDESAMBURO"
Post a Comment