Loading...

Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu

Loading...
Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu
link : Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu

soma pia


Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu

Kufuatia wafanyabishara kutokulipa kodi kwa wakati na wengine kuwa wadaiwa sugu na kupelekea baadhi ya halmashauri kukwama katika kuendeleza miradi ya maendeleo na kujitegemea hatimaye Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu.

Akizungumza mapema leo DC Lyaniva ameeleza kuwa zoezi hilo litalenga kukusanya kodi kwa wale wadaiwa sugu ambao wamekuwa wakidaiwa na Halmashauri hiyo kwa muda mrefu.

DC Lyaniva ametaja idadi ya wadaiwa sugu kuwa ni 142 ambapo wadaiwa wa leseni za biashara wakiongoza kwa idadi kubwa ya wadaiwa 69, ushuru wa huduma 52 na wadaiwa sugu kwa upande wa masoko wakiwa ni 21.

Jambo ambalo limepelekea halimashauri hiyo ya wilaya ya Temeke kutofikia malengo ya makusanyo ya kodi ya shilingi bilioni 29 ambapo wamefanikiwa kukusanya bilioni 23 pekee huku zaidi ya bilioni 6 zikibakia kwa wadaiwa sugu.

DC Lyaniva amesisitiza kuwa kwa wasiolipa kabla ya tarehe mosi ya mwezi Julai mwaka huu watachukuliwa hatua kali za kisheria, hivyo ni vyema wakatimiza wajibu huo haraka iwezekanavyo na kufafanua kuwa kwa umuhimu wa jambo hilo ofisi zitakuwa wazi mpaka siku ya jumapili.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva.


Hivyo makala Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu

yaani makala yote Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/mkuu-wa-wilaya-ya-temeke-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mkuu wa Wilaya ya Temeke kufanya oparesheni maalum kwa wadaiwa sugu"

Post a Comment

Loading...