Loading...

NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA

Loading...
NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA
link : NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA

soma pia


NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA


Naibu waziri wa Kazi,Vijana ,Ajira na Watu wenye Ulemavu Ndg. Anthony Mavunde leo amefanya mazungumzo na Balozi wa Uswisi Mh Florence Mattli katika ofisi za Wizara ya Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu mjini Dodoma juu ya namna bora ya ushirikiano kati ya Tanzania na Uswisi katika eneo la Ukuzaji Ujuzi kwa Vijana kupitia mpango unaotekelezwa na Wizara.

Balozi Mattli ameupongeza mpango wa Wizara wa utekelezaji wa Program ya Ukuzaji Ujuzi kwa Vijana nchini kupitia mafunzo stadi ambayo yana lengo la kuwajengea Vijana wa Tanzania ujuzi stahiki na hivyo kuwawezesha kuwa na sifa za kuajiriwa,Kujiajiri na kuajiri Vijana wengine.

Balozi Mattli ameahidi kushirikiana na Serikali katika kuunga mkono juhudi za Wizara katika uendeshaji wa Mafunzo ya Ufundi kwa Vijana kwa kufadhili kiasi cha Shilingi 34,000,000 USD kwa miaka 12 kwa ajili ya utekelezaji bora wa Mpango wa Ukuzaji Ujuzi kwa Vijana nchini.






Hivyo makala NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA

yaani makala yote NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/naibu-waziri-anthony-mavunde-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AKUTANA NA BALOZI WA USWISI NCHINI TANZANIA MJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...