Loading...
title : MSIMU WA PAMBA WAANZA MKOANI SHINYANGA
link : MSIMU WA PAMBA WAANZA MKOANI SHINYANGA
MSIMU WA PAMBA WAANZA MKOANI SHINYANGA
Meneja wa Wakala wa Vipimo Mkoa wa Mwanza, akishuhudia mzani unaopima Pamba mara baada ya msimu wa Ununuzi kuanza
Marobota ya Pamba yanayo subiri kuuzwa baada ya msimu kufunguliwa mkoani Simiyu
Maafisa wa Wakala wa Vipimo Nchini, ukionesha Mizani iliyo kaguliwa na kukubaliwa kutumika katika msimu wa ununuzi wa Pamba kwa mwaka huu.
Afisa wa wakala wa Vipimo, Bibi Rehema Michael akipima usahihi wa robota la Pamba kwakutumia mizani iliyohakikiwa na wakala wa Vipimo mkoani Simiyu mara baada yakufunguliwa kwa Msimu (Picha zote na Wakala wa Vipimo)
Mkulima wa Pamba Mkoani Shinyanga akipima Pamba yake katika mzani uliohakikiwa.
Hivyo makala MSIMU WA PAMBA WAANZA MKOANI SHINYANGA
yaani makala yote MSIMU WA PAMBA WAANZA MKOANI SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSIMU WA PAMBA WAANZA MKOANI SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/msimu-wa-pamba-waanza-mkoani-shinyanga.html
0 Response to "MSIMU WA PAMBA WAANZA MKOANI SHINYANGA"
Post a Comment