Loading...
title : NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA
link : NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA
NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA
Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akionyesha Ripoti ya Watoto baada ya kuizindua leo Mjini Dodoma.Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba Nkinga na Kushoto kwake ni Mwenyekiti Baraza la Watoto Joel Kiyungu.
Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla, Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba Nkinga na Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Joel Kiyunga wakionyesha Ripoti ya Watoto baada ya kuzinduliwa leo Mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba Nkinga akisoma kipeperushi katika banda la UNICEF katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akipata maelezo baada ya kutembelea banda la Plan Internaltional katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/naibu-waziri-wa-afya-mhekigwangalla.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA AFYA MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA"
Post a Comment