Loading...
title : NEWS ALERT: SHABIKI WA YANGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
link : NEWS ALERT: SHABIKI WA YANGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
NEWS ALERT: SHABIKI WA YANGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
Globu ya Jamii imepokea taarifa ya kifo cha shabiki maarufu wa timu ya Yanga,almaarufu kwa jina la Ally Yanga. Taarifa zinaeleza kuwa Ally Yanga amefariki Dunia mapema leo katika ajali ya gari eneo la kijiji cha Chipogolo wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma. Taarifa rasmi tutawaletea kutoka Jeshi la Polisi kutoka mkoani humo. Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amin.
Pichani juu na chini ni gari iliyopelekea kifo cha Shabiki huyo wa Yanga,Ally yanga
Hivyo makala NEWS ALERT: SHABIKI WA YANGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
yaani makala yote NEWS ALERT: SHABIKI WA YANGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWS ALERT: SHABIKI WA YANGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/news-alert-shabiki-wa-yanga-afariki.html
0 Response to "NEWS ALERT: SHABIKI WA YANGA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI"
Post a Comment