Loading...
title : NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO
link : NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO
NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO
Wachezaji wa timu za taifa kutoka mataifa mbalimbali, wakishuka katika gari baada ya kuwasili katika lango la Lemosho kwa ajili ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kuweka historia ya kucheza mchezo a kirafiki eneo la Kreta katika kilele cha Uhuru.
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania ,Twiga Stras ambaye kwa sasa anakipiga timu ya IFA Academy ya nchini Dubai,Rajvi Ladha akifurahia jambo na Afisa Uhusiano Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Geofrey Tengeneza.
Wachezaji wa timu za Volcano fc na Gracier fc wakikamilisha taratibu kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwa ajili ya mchezo wa kirafiki utakao pigwa June 26 mwaka huu katika kilele cha Uhuru.
Afisa Uhusiano Mkuu wa TTB ,Geofrey Tengeneza akipata taswira ya pamoja na wachezaji hao.
Hivyo makala NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO
yaani makala yote NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/nguli-wa-timu-za-taifa-za-wanawake.html
0 Response to "NGULI WA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE DUNIANI KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI KATIKA KRETA YA MLIMA KILIMANJARO"
Post a Comment