Loading...
title : EFM RADIO KUSAKATA KABUMBU NA WASANII WA BONGO FLEVA KANDA YA ZIWA
link : EFM RADIO KUSAKATA KABUMBU NA WASANII WA BONGO FLEVA KANDA YA ZIWA
EFM RADIO KUSAKATA KABUMBU NA WASANII WA BONGO FLEVA KANDA YA ZIWA
Zaidi ya wasanii kumi na mbili wa timu ya bongo fleva kusakata kabumbu na wadau wao wakubwa wa redio E-fm siku ya Jumamosi tarehe 25/06/2017 katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza katika mwendelezo wa kutambulisha masafa mapya ya EFM Radio ya 91.3 fm Mwanza.
Kwa mujibu wa taharifa iliyotlewa na afisa uhisiano wa kituo hicho, Jesca Mwanyika amesema kuwa wakali hao wa bongo fleva na Efm redio watashiriki katika mtanange huo ili kuipa jamii hamasa katika kujikita kwenye michezo mbalimbali ili kuimarisha afya zao na kuepuka hatari ya kupata magojwa yasioambukizwa.
“ mechi hii ni sehemu ya utaratibu wa E-fm ya kuwafikia wadau wao kama ilivyoada yao, vilevile kutoa wito kwa makampuni mbalimbali kuwekeza katika michezo ili kuhamasisha na kuvumbua vipaji vipya katika jamii” amesema Mwanyika .
Mechi hiyo itaenda sambamba na mazoezi ya mbio za mwendo pole (jogging) zikiongozwa na Efm jogging club, Kubandika stika vyombo vya moto, na kuweka kifaa cha kuongeza masafa katika redio za daladala kwa madereva hamsini wa kwanza kufika uwanjani.
Hivyo makala EFM RADIO KUSAKATA KABUMBU NA WASANII WA BONGO FLEVA KANDA YA ZIWA
yaani makala yote EFM RADIO KUSAKATA KABUMBU NA WASANII WA BONGO FLEVA KANDA YA ZIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala EFM RADIO KUSAKATA KABUMBU NA WASANII WA BONGO FLEVA KANDA YA ZIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/efm-radio-kusakata-kabumbu-na-wasanii.html
0 Response to "EFM RADIO KUSAKATA KABUMBU NA WASANII WA BONGO FLEVA KANDA YA ZIWA"
Post a Comment