Loading...

Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo

Loading...
Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo
link : Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo

soma pia


Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo

Baadhi ya Makamanda wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi JKU na Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakiwa katika hafla ya kuwapishwa wakuu wao Wapya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid ni miongoni mwa Viongozi waliohudhurika katika hafla ya kuwapishwa Mkuu wa JKU na Kamishna Mkuu wa Chuo cha Mafunzo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu (kulia) Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.Said Hassan Said na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe, Ayoub Mohamed Mahmoud, ni miongoni mwa Viongozi waliohudhurika katika hafla ya kuwapishwa Mkuu wa JKU na Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri (kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji, ni miongoni mwa Viongozi waliohudhurika katika hafla ya kuwapishwa Mkuu wa JKU na Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimvalisha cheo cha Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Nd,Ali Abdalla Ali katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kabla alikuwa  Naibu Kamishana,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Kanal Ali Mtumweni Hamad  kuwa   Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi, Zanzibar (JKU )  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Nd,Ali Abdalla Ali kuwa  Kamishana Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar  katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja kabla alikuwa  Naibu Kamishna,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali  baada ya kuwaapisha rasmi  Kamishna Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdalla Ali kuwa (wa nne kushoto) na Kanal Ali Mtumweni Hamad   Mkuu wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi, Zanzibar  JKU  (wa nne kulia)  hafla iliyofanyika  leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 13/06/2017.


Hivyo makala Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo

yaani makala yote Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/rais-dk-shein-awaapisha-mkuu-wa-jku-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Dk Shein awaapisha mkuu wa JKu na mkuu wa chuo cha mafunzo Ikulu leo"

Post a Comment

Loading...