Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI
link : RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Nehemiah Osoro Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakiangalia Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini wakati ikifunguliwa kwenye kabrasha.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini mara baada ya kukabidhiwa Ikulu jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakishuhudia.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimshukuru Rais Dkt. John Pombe Magufuli  mara baada ya kumkabidhi Ripoti hiyo ya Kamati ya pili ya Uchunguzi wa Madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga unaosafirishwa nje ya nchi kutoka kwenye machimbo ya madini sehemu mbalimbali hapa nchini, Ikulu jijini Dar es Salaam.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/rais-dkt-magufuli-apokea-ripoti-ya-pili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA PILI YA KAMATI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYO KWENYE MAKONTENA YENYE MCHANGA UNAOSAFIRISHWA NJE YA NCHI"

Post a Comment

Loading...