Loading...
title : UCHAGUZI MKUU WA TFF AUGUST 12,2017 DODOMA, SIFA ZA MGOMBEA ZAWEKWA WAZI
link : UCHAGUZI MKUU WA TFF AUGUST 12,2017 DODOMA, SIFA ZA MGOMBEA ZAWEKWA WAZI
UCHAGUZI MKUU WA TFF AUGUST 12,2017 DODOMA, SIFA ZA MGOMBEA ZAWEKWA WAZI
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Tanzania (TFF), imetangaza Uchaguzi Mkuu wa shirikisho hilo utakafanyika Agosti 12, mwaka huu mjini Dodoma.
“Napenda kuwatangazia wadau wote wa mpira wa miguu kuwa mnakaribishwa kugombea nafasi zilizo orodheshwa hapo chini kwa kuchukua fomu Ofisi za TFF Karume Ilala na pia unaweza kuzipata katika tovuti ya TFF: www.tff.or.tz,” amesema Kuuli.
Akitangaza tarehe hiyo mbele ya wanahabari, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Revocatus Kuuli, amesema kwamba kamati yake haitakuwa na huruma kwa ishara yoyote ya rushwa katika kipindi chote cha uchaguzi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Revocatus Kuuli (Katikati) akiwa pamoja na wajumbe wengine wa kamati hiyo.
Wakili Kuuli amesema kamati yake itandesha uchaguzi huo kwa Uhuru na Haki na kuzingatia taratibu, kanuni na sheria zote zilizopo.
Kuuli, amesema Kamati yake itafanya kazi na Taasisi nyingine za Serikali ikiwemo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na jeshi la Polisi kuhakikisha uchaguzi huo hautakuwa na vitendo vya rushwa.
“Tunawatahadharisha wagombea woye kukaa mbali na vitendo vya rushwa…, kamati yetu haitakubali vitendo hivyo na tutafanya kazi na mamlaka za Serikali kuhakikisha yeyote atakayehusika na vitendo hivi anachukuliwa hatua, Takukuru wataufuatilia kwa karibu uchaguzi huu,” alisema Kuuli.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Hivyo makala UCHAGUZI MKUU WA TFF AUGUST 12,2017 DODOMA, SIFA ZA MGOMBEA ZAWEKWA WAZI
yaani makala yote UCHAGUZI MKUU WA TFF AUGUST 12,2017 DODOMA, SIFA ZA MGOMBEA ZAWEKWA WAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UCHAGUZI MKUU WA TFF AUGUST 12,2017 DODOMA, SIFA ZA MGOMBEA ZAWEKWA WAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/uchaguzi-mkuu-wa-tff-august-122017.html
0 Response to "UCHAGUZI MKUU WA TFF AUGUST 12,2017 DODOMA, SIFA ZA MGOMBEA ZAWEKWA WAZI"
Post a Comment