Loading...
title : Rais Dkt.Magufuli Afungua Kikao Cha Maafisa Waandamizi Makamanda wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam leo.
link : Rais Dkt.Magufuli Afungua Kikao Cha Maafisa Waandamizi Makamanda wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Magufuli Afungua Kikao Cha Maafisa Waandamizi Makamanda wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam leo Juni 2, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam.
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Simon Sirro akitoa muhtasari wakati wa ufunguzi wa kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam
Meza kuu ikimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam leo
Kamishna wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar Afande Hamdan Omar Makame akitoa shukurani kwa niaba ya wote kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam
Ukumbi wote ukimsikiliza kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam
Kamishna wa Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar Afande Hamdan Omar Makame akipeana mikono na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kumshukuru kwa niaba ya wote kwa kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka baada ya kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu akipata picha ya pamoja na Makamishna wa Jeshi la Polisi baada ya kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu akipata picha ya pamoja na Makamishna, makamanda wa Wakuu wa Vikosi wa Jeshi la Polisi baada ya kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu akipata picha ya pamoja na Makamanda wa Polisi wa mikoa baada ya kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kufungua kikao cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Makamanda wa Polisi wa Mikoa na Vikosi katika Bwalo la Maafisa wa polisi la Oysterbay jijini Dar es salaam leo Juni 2, 2017.
PICHA ZOTE NA IKULU
Hivyo makala Rais Dkt.Magufuli Afungua Kikao Cha Maafisa Waandamizi Makamanda wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam leo.
yaani makala yote Rais Dkt.Magufuli Afungua Kikao Cha Maafisa Waandamizi Makamanda wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dkt.Magufuli Afungua Kikao Cha Maafisa Waandamizi Makamanda wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam leo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/rais-dktmagufuli-afungua-kikao-cha.html
0 Response to "Rais Dkt.Magufuli Afungua Kikao Cha Maafisa Waandamizi Makamanda wa Mikoa na Vikosi wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam leo."
Post a Comment